Madhumuni makubwa ya kozi hii ni kuwapatia vijana wanaofanya biashara ndogondogo uwezo wa kujenga stadi katika ujasiriamali na kuongeza kipato. Kozi hii inatolewa kwa vijana kwa ushirikiano kati ya NBC na TAYOA
YALIYOMO
1. Kuunda Vikundi
VIKUNDI ni muungano wa watu wenye nia moja wakiwa na dhamira madhubuti kuweza kukabiliana na changamoto zinazo wakabili. Changamoto hizo zinaweza kuwa za kiuchumi, kiutamaduni na kijamii. Muundo mzuri wa vikundi ........Soma zaidi....
2. Andiko la Biashara
Mpango wa biashara ni kauli rasmi ya seti ya malengo ya biashara na mpango kwa ajili ya kufikia malengo hayo.Andiko hili la biashara huonyesha pia fursa zilizopo, rasilimali na jinsi vitakavyotumika ,mpangilio mzima wa kutekeleza biashara ikiwa ni pamoja na uongozi na usimamizi wa biashara kwa hapo baadaye kwa upande wa kitaasisi na kifedha... Soma zaidi...
3. Masoko
Soko ni utaratibu au mtindo uliowekwa kwa mujibu wa kanuni /sheria kumwezesha mfanya biashara kuuza bidhaa zake kwa wateja/walaji, na Masoko ni shughuli yoyote ile anayofanya mfanyabiashara ili kuimarisha biashara yake. Kozi hii itakusaidia kufikiri ki- masoko na kuelewa mbinu za masoko, utafiti wa soko... Soma zaidi...
Neno ujasiriamali linatokana na maneno mawili ambayo ni UJASIRI na MALI hivyo maana ya ujasiriamali ni kuwa na i) Ujasiri au mshawasha wa......Soma zaidi..
Biashara ni pamoja na hali ya kununua na kuuza, kuzalisha mali na kuuza utaalam. Wito na makubaliano ya kipekee yenye lengo la kibiashara kwa nia ya kupata faida. Kulingana na sera ya taifa ya biashara ya mwaka 2003 mgawanyo wa biashara kwa wajasiamali ni kama ifuatavyo:... Soma zaidi...
6. Mtaji
Hapa tunajumuisha aina zote za uzalishaji ambazo zinaweza kutumika katika ubunifu unaoweza kuongeza thamani katika bihaa au huduma inayotolewa .Yaani njia ya kukufikisha au haki uliyo nayo juu ya aina ya mtaji utakayoitumia kutengeneza/kuzalisha faida. Hizi zinaweza kuwa kigezo cha ofisi, zana, fedha... Soma zaidi....
7. Haki Miliki/Hataza
Haki miliki ni haki ya umiliki wa jumula inayotolewa na serikali kwa ugunduzi au kwa umiliki kwa kipindi maalumu. Kwa kawaida ni kipindi cha miaka 20 tangu umiliki ukabidhiwe kwa muhusika. Ni muhimu kama mjasiriamali kuwa na umiliki wa biashara yako. Vitu ambavyo unaweza kuwa na haki miliki navyo na namna ya kuzipata vinaelezewa hapa... Soma zaidi...
8. Kupanga gharama na Bei
Pata uelewa na kupanga gharama mbalimbali katika biashara zako (gharama za moja kwa moja na gharama zisizo za moja kwa moja) na kuelewa jinsi ya kupanga bei ya bidhaa yako ili kupata faida na biashara yako kuendelea kukua. Bei ni jumuisho la .... Soma zaidi..
9. Kuweka Kumbukumbu
Ni muhimu kuweka kumbukumbu ya biashara zako ili kukusaidia kutambua mwelekeo wa biashara yako. Pia inakusaidia kuweza kusaidika na wafanyabiashara wengine kama taasisi za kifedha. Muundo mzuri wa kuweka kumbukumbu zako ni kama huu ..... Soma zaidi...